Kuna jumla ya machapisho 1 kati ya 18 yanayopatikana katika Kiswahili.
Tumia Kiingereza
Ethereum.org
Masasisho kwenye ethereum.org, programu huria, rasilimali za elimu kwa jamii ya Ethereum ambayo yeyote anaweza kuchangia kwayo kwa lugha yoyote.
31 Agosti 2022
ETH.org
na Ethereum.org Team
Tangu chapisho la kwanza Desemba 2013, blogu ya Msingi wa Ethereum (EF) imekuwa njia ya msingi ya mawasiliano kwa timu ndani ya EF. Kutoka kwenye matangazo kuhusu matukio, to mawimbi ya ruzuku, maboresho ya itifaki, taarifa za mara kwa mara kutoka kwenye timu mahususi au kujadili maono na ratiba ya Ethereum, blogu imekuwa rasilimali muhimu kwa wale wanaotaka kuendelea kufahamu kinachojiri. Hata hivyo, kumekuwepo na tatizo kubwa: licha ya jamii yetu ya Ethereum ya kimataifa, taarifa hii imekuwa ikipatikana tu kwa Kiingereza. Kufikia taarifa hizi ni changamoto kwa mabilioni ya watu wasiozungumza Kiingereza kote duniani.